Diamond Platnumz akosa tena Tuzo ya BET...Huyu ndie Mshindi wa Tuzo hii
Katika Tuzo hii Black Coffee alikuwa akishindina vikali na wababe wa Muziki wa Afika kwa sasa akiwemoDiamond Platnumz, Wizkid, Yemi Alade na Cassper Nyovest kutoka nchini Afrika ya kusini.
HUYU NDIE BLACK COFFEE
Katika Mtandao wa Instagram wa BET AFRIKA wamepost picha ya Black Coffee na kuandika "🎉🎊 Winner: Best International Act: Africa - Black Coffee #BETAwards16".
Bahati haikuwa kwetu, Hongera Pia kwa Diamond Platnumz japo hajashinda lakini ametuwakilisha vizuri sana katika kuufikisha Muziki wetu katika level ya Kimataifa.
No comments