Video Video: Ommy Dimpoz akutana uso kwa uso na Wayne Rooney.
Ommy Dimpoz amekutana na Mchezaji wa Man United Huko nchini Spain, Ommy Dimpoz alichukua nafasi hiyo kupiga nae picha na kuitupia katika account yake ya Instagram na kuandika “Disturbing Spain with Le Captain @waynerooney #ibiza2016 #pkp_empire
#ManchesterBwanaTunapendanaaaa
#BataTunakulaPamojaaa
#KamaNakuonaUlivyotoaMachoHuamini
#SemaWamanyemaWabishiiiBataNaRooney
#HukuHauweziKujaLabdaUuzeKibandaChako
#HukuTunakujaSisiMatajiriii
#KaniambiaKwaTanzaniaAnapendaSimba
#KamaNakuonaUnavyosonyaaa
#NewCollaboComingSoon“….
No comments