VIDEO: Tanzania inatengeneza helicopter, July itafanyiwa majaribio
Tanzania kwa mara ya kwanza imeingia kwenye headline baada ya Mtanzania wa kwanza ambaye anatengeneza helcopter itakayokuwa na uwezo wa kuchukua abiria wawili na ambapo mpaka sasa shilingi millioni tatu zimeshatumika.
Injinia Abdi Mjema ndiye anayeitengeneza helcopter hiyo katika chuo cha ufundi Arusha na hadi kufikia July mwanzoni itaanza majaribio ya awali.
>>>’Ubunifu wa kutengeneza huu ni wa kwangu mwenyewe lakini kuna baadhi ya vitu tumetazama kwa wenzetu ambao tayari wameshatengeneza ndege ambzo zinatumika kwenye maisha yetu ya kila siku, kwa sababu ni ngumu kungudua kila kitu peke yako lakini vitu vingine tumeviendeleza wenyewe’:- Injinia Abdi Mjema
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
No comments