VIDEO: Diamond Platnumz alivyohojiwa na 106&Park ya BET
Diamond Platnumz yupo Los Angels California Marekani tayari kwa ajili ya tuzo zaBET 2016, Diamond ambaye yupo nominated katika kipengele cha msanii bora wa kiume kutokea Afrika, alfajiri ya June 25 2016 amehojiwa na kipindi cha 106&Parkkinachorushwa na BET.
No comments