Breaking News

GAMES MAKUMBA FC HIYOOO ROBO FAINALI NDONDO CUP.

IMG_3544

Michuano ya Sports extra Ndondo cup hatua ya 16 bora imeendelea leo katika mchezo uliozikutanisha timu za KEKO FERNTURE kutoka maeneo ya keko na MAKUMBA FC inayotokea pande za Ubungo.Hadi dakika ya tisini mchezo uliisha kwa sare ya goli moja kwa moja na Makumba kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati saba kwa sita’
nimekusogezea ripoti kamili ya mchezo huo hapa chini.


No comments